Home

Tanzania Salon Services

Latest Updates

@Lemon Spa 2018-07-02

Hello, July Special A Relaxing Aromatherapy Back Massage ~ Spa Pedicure Tshs 65000/= Bookings: Arusha, Njiro - 0762320120 Dar, Masaki - 0754814531 Gift Vouchers Available Karibuni sana, Ramona

@Merrylighttophair 2018-06-25

merrylighttophair inawajali wateja wake inakupa kitu roho inapenda karbun sana nywele mpya hyo call 0713400811tupo kinondonibmwenge na tabata na mikoan pia tunasafirisha asanten

@Elan holistic spa 2018-05-03

Our Month of May Mother s Day Spa Packages are now available. Spoil her (or yourself) with treatments fit for a Queen.

@Marina Lishe 2018-02-01

MARINA PRODUCTS TZ Ni watengenezaji na wasambazaji wa UNGA Bora,mtamu,msafi na salama kwa matumizi ya watu wa rika zote watoto na wakubwa.Wapo kwa ajiri yakuku hudumia popote pale ulipo UNGA zinazopatikana ni hizi kwa kg 1 (❤️MARINA LISHE RED) 5,000 Yenye mchanganyiko wa==Ulezi,Mahindi,Soya na Ngano... (💙MARINA LISHE BLUE) 5,000 Yenye mchanganyiko wa==Mahindi lishe,Ufuta,Mtama na Mchele... (💖MARINA DONA MIX) 3,000 Yenye mchanganyiko wa== Mahindi na Ngano... (💖MARINA DONA) 2,000 Ilioyo wekwa Mahindi... Karibuni sana MARINA PRODUCTS TZ Facebook @marinaproducttz Instar @marinaproducttz 📞0758 559 482 📞0716 391 885

We Provide Quality Education for Today s Students to Create Tomorrow s professionals! . . Our cosmetology school graduates have gone on to have successful and rewarding careers across Tanzania. Our commitment to our students goes beyond the classroom. You should consider the fact that top cosmetology school graduates often go on to become owners of their own salons. If you are seeking a career in beauty, we can educate you. Karibu! #TanzaniasPremierSchoolofAestheitics #BeautyCourses #Manjano #chuochaurembo #facials #facialtreatment #clearskin #extraction #elimuyaurembo #spatreatmentraining #salonbusinessmanagement #ManjanoBeautyAcademy #haircourse #hairstyling #hairspecialist #hairclass #hairstylingclass #hairsetting #hairrollers #unywele #ManjanoFoundation #NyweleNzuri #MatunzoYaNywele

Isha Mashauzi @ishamashauzii anapaka #LuvTouchManjano Foundation na Poda namba 5, jina la poda ya rangi #5 ni Kahawia . LuvTouch Manjano ni Foundation na Poda inayotosheleza na kudumu kwa saa 12, nyepesi na haina harufu. Pata muonekano mzuri wa natural bila mtu kujua umepaka chochote usoni . A 12-hour full coverage weightless foundation and powder #LuvTouchManjano is Tanzania s biggest and TOP beauty brand by customer loyalty, affordability and best quality makeup that ladies are obsessed with! . LuvTouch Manjano is Available at Leading Pharmacies, Perfumeries, Makeup Stores and Major Super Markets. For door-to-door delivery contact any #ManjanoDreamMakers nearest to your area. #KipodoziPendwaTanzania #LuvTouchManjano #KipodoziPendwaTanzania #bewareoffake #HudumuSaa12 #hainaharufu #QualityProducts #BidhaaYaKitanzania #ViwangoVyaKimarekani #TanzanianBrand #TFDATanzania #ManjanoFoundation #Shearillusionsafrica #MakeupStore #tanzanianbrand #TFDATanzania @luvtouchmanjano @shearillusionsafrica @manjanofoundati on @manjanobeautyacademy

Zimebaki siku 9 kabla ya Event yetu ya kihistoria;ambapo tutakua tukishirikisha zaidi ya watu 2000 juu ya jinsi gani wanaweza kubadili maisha yao kupitia fursa hii.. Hii si ya kukosa kabisa!!! Jipatie ticket yako mapema kwa tshs 5000 tu; Bila shaka umesoma mengi juu ya hii fursa,kwa maandishi kwa picha kwa videos..ni zamu yako wewe ili uje ujionee kwa macho. Piga 0756219550/ 0629919235

@Divas Sparkle 2017-10-25

Mini Bag Bei/Price 25000tshs Call/whatsapp +255 716100978 Duka letu lipo sinza Makaburini njia ya mcty Opp Na Stone valley shoppers

Maandalizi yanakamilika💪 Gym ya kisasa kabisa! Utakutana na madaktari wataalam wa mambo ya kudhibiti uzito na kudhibiti magonjwa sugu kama shinikizo la juu la damu, kisukari n.k . Nutritionists, Pia Gym trainers wenye taaluma. Karibuni mpate membership kwa discount, kwa watu 100 wa mwanzo! kuna promotion inaendelea. Jilinde Fitness and Sports Center! Tanzanite Park Tower, 10th Floor Victoria daladala stop, Victoria Bagamoyo road Karibuni! #exercise, #fitness, #weightloss, #shapeyourbody

Je, unataka maujuzi kuhusu Computer,ucjali Page hii itakusaidia kujua yote.

Kama tulivyohaidi..karibuni sana. . . LOCATION: Temeke Sokota, Dar es Salaam

Todays look...simple n natural...hair n make up by Queens...

@Mercy Beauty Care 2016-04-11

Our bride looked stunning yesterday. We now offer bridal services at reasonable price.

samahani wateja kwa usumbufu uliojitokeza,kwa sasa saloon yetu imehamia njia ya kwenda Kingongo sehemu inaitwa Michungwani.

Asalam aleikum,hope all is well with you. I would like to inform you that i also do bridal make up and hijab tyles for muslim brides. not only that but also I do make up and hijab styles for parties,wedding guests etc. I sent some few photos of some of the brides i workecd with. Please contact +255 788 700 400 for more info.